S/NO | SERVICE/GOOD | REQUIREMENTS TO OBTAIN SERVICE/GOOD | COST OF SERVICE/GOOD | TIMELINE | RESPONSIBILITY |
---|---|---|---|---|---|
1. | Response to verbal enquiries at the office reception | Visit the office voluntarily | Nil | 5 minutes | All units |
2. | Response to phone calls | Make a phone call | Nil | Immediately | Communications Department |
3. | Response to written correspondence | Send an email | Nil | Immediately | All units |
4. | Payment for goods, services and works | Submit invoice and delivery note | Nil | 30 days | Accounts department |
5. | To be attended to by an officer | Visit the office voluntarily | Nil | 5 minutes | All units |
6. | Handling and response to written complaints | Communicate and disclose details of complaint | Nil | 21 working days | Communications Department |
7. | Capacity building on innovation issues and entrepreneurship | Submit application | KSh 30,000 | 3 working days | Technical department |
8. | Recognising and awarding innovators | Respond to call for applications on the awards website | Nil | 60 working days | Technical department |
9. | Uploading innovations on the National Innovation database | Submit innovation records on the KIB platform | Nil | 2 working days | Technical department |
10. | Recommending partnerships and financial assistance to develop innovations | Submit records | Nil | 7 working days | Technical department |
11. | Identifying and supporting institutions to roll out their Research To Commercialisation (R2C) accelerator | Submit application | Nil | 60 working days | Technical department |
12. | Supporting institutions to establish innovation commercialisation ecosystems | Submit application | Nil | 60 working days | Technical department |
WE ARE COMMITTED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY
Any service/good rendered that does not conform to the above standards, or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service Delivery should be reported to:
Chief Executive Officer
Kenya National Innovation Agency P.O.Box 22269-00100 Tel.(+254-792 446 976) Email: ceo@innovationagency.go.ke Website: innovationagency.go.ke
The Commission Secretary/Chief Executive Officer,
Commission on Administrative Justice 2nd Floor, West End Towers, Waiyaki Way, Nairobi. P.O. Box 20414-00200 Nairobi Tel : +254 (0)20 2270000/2303000 Email : feedback@ombudsman.go.ke |
|
HUDUMA BORA NI HAKI YAKO |
H/N | HUDUMA | MAJUKUMU | MALIPO | MUDA | WAJIBU |
---|---|---|---|---|---|
1. | Jibu kwa maswali ya kuzungumza katika mapokezi ya ofisi. | Tembelea ofisi kwa hiari | Hakuna malipo | Dakika tano | Mara moja |
2. | Majibu kwa simu | Piga simu | Hakuna malipo | Mara moja | Idara ya Mawasiliano |
3. | Jibu kwa mawasiliano yaliyoandikwa | Tuma barua pepe | Hakuna malipo | Masaa 24 | Vitengo vyote |
4. | Malipo ya bidhaa, huduma na kazi | Wasilisha ankara na noti ya utoaji | Hakuna malipo | Siku 30 | Idara ya Hesabu |
5. | Kuhudumiwa na afisa | Tembelea ofisi kwa hiari | Hakuna malipo | Dakika tano | Vitengo vyote |
6. | Kushughulikia na kujibu malalamiko yaliyoandikwa | Kuwasiliana na kufichua maelezo ya malalamiko | Hakuna malipo | Siku 21 za kazi | Idara ya Mawasiliano |
7. | Kuimarisha uwezo kuhusu masuala ya ubunifu na ujasiriamali. | Wasilisha maombi | KSh. 30,000 | Siku 3 za kazi | Idara ya Kiufundi |
8. | Kutambua na kutoa tuzo kwa wabunifu | Jibu wito wa maombi kwenye tovuti ya tuzo | Hakuna malipo | Siku 60 za kazi | Idara ya Kiufundi |
9. | Kuongeza ubunifu kwenye kanzidata ya Ubunifu wa Kitaifa | Wasilisha rekodi za ubunifu kwenye jukwaa la KIB | Hakuna malipo | Siku 2 za kazi | Idara ya Kiufundi |
10. | Kupendekeza ushirikiano na msaada wa kifedha kwa ajili ya kukuza ubunifu | Wasilisha kumbukumbu | Hakuna malipo | Siku 7 za kazi | Idara ya Kiufundi |
11. | Kutambua na kusaidia taasisi kuzindua kwa kasi mipango yao ya kuelekea Ukomeshaji wa Utafiti kuwa Biashara (R2C ) | Wasilisha maombi | Hakuna malipo | Siku 60 za kazi | Idara ya Kiufundi |
12. | Kuongeza ubunifu kwenye kanzidata ya Ubunifu wa Kitaifa | Wasilisha maombi | Hakuna malipo | Siku 60 za kazi | Idara ya Kiufundi |
TUMEJITOLEA KWA ADABU NA UBORA KATIKA UTOAJI HUDUMA
Huduma/bidhaa yoyote inayotolewa ambayo haiambatani na viwango vilivyo hapo juu, au afisa yeyote ambaye hafikii ahadi ya uungwana na ubora katika Utoaji Huduma anapaswa kuripotiwa kwa:
Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Kitaifa la Uvumbuzi la Kenya P.O.Box 22269-00100 Simu: +254-792 446 976 Barua pepe: ceo@innovationagency.go.ke Tovuti: innovationagency.go.ke
Katibu wa Tume/Afisa Mkuu Mtendaji
Tume ya Haki ya Utawala Ghorofa ya 2, West End Towers, Waiyaki Way, Nairobi. P.O. Box 20414-00200 Nairobi Simu : +254 (0)20 2270000/2303000 Barua pepe : feedback@ombudsman.go.ke |
|
HUDUMA BORA NI HAKI YAKO |